Usimamizi Bora wa Biashara – 1:  Utangulizi

Usimamizi Bora wa Biashara – 1: Utangulizi

“Usimamizi wa biashara”, ni neno ambalo tumezoea bila kujua maana halisi ya neno hili muhimu. Kwa sababu ya limetumika sana, na kirahisi rahisi, neno hili limepoteza maana yake halisi katika ulimwengu wa biashara. Katika mfululizo huu, nitakuwa nikikushirikisha usimamizi wa biashara ni nini, na kwa nini ni muhimu kila mfanyabiashara anapaswa kujua kusimamia biashara yake.

Read More
Je Nitumie Mfumo Gani kwa Biashara Yangu?

Je Nitumie Mfumo Gani kwa Biashara Yangu?

KWA NINI MIFUMO NI MUHIMU Juma alikuwa na mtaji na akawaza kufanya biashara. Baada ya kutafuta na kupata biashara ya kufanya, akaanza kutafuta sehemu ambapo angepata bidhaa kwa bei ya chini na kuuza kwa bei ya juu kidogo, ili kupata faida. Baada ya kufanya biashara kwa muda Juma akagundua hapati faida, licha ya kupata bidhaa

Read More
Adiuta Biz Assistant – Msaidizi wako katika Biashara

Adiuta Biz Assistant – Msaidizi wako katika Biashara

Bila shaka utakuwa umewahi kujaribu kufanya biashara au kwa sasa wewe ni mfanya biashara. Iwe kuuza nyanya gengeni, kuuza soda kwenye kioski, kumiliki kampuni au namna biashara nyingine yeyote. Kati ya mambo ulijifunza ni kuwa kila biashara inahitaji usimamizi ili ikue. Kutoka Shilingi mia moja mpaka kufikia bilioni moja kuna milima ya kupanda na mabonde

Read More