2021 is almost finished and 2022 is around the corner. Allow me to congratulate everyone that managed to put their business afloat or even get profit. For many business it have been a challenging year with its hard lessons. Now many are starting to plan for 2022 and some are
Many businesses struggle with growth. There are many reasons why that happens. You might also have this problem where you want to grow your business, and you think you have done all it takes, but somehow the business is stagnant or is dying. In that case you might want to
“Usimamizi wa biashara”, ni neno ambalo tumezoea bila kujua maana halisi ya neno hili muhimu. Kwa sababu ya limetumika sana, na kirahisi rahisi, neno hili limepoteza maana yake halisi katika ulimwengu wa biashara. Katika mfululizo huu, nitakuwa nikikushirikisha usimamizi wa biashara ni nini, na kwa nini ni muhimu kila mfanyabiashara
KWA NINI MIFUMO NI MUHIMU Juma alikuwa na mtaji na akawaza kufanya biashara. Baada ya kutafuta na kupata biashara ya kufanya, akaanza kutafuta sehemu ambapo angepata bidhaa kwa bei ya chini na kuuza kwa bei ya juu kidogo, ili kupata faida. Baada ya kufanya biashara kwa muda Juma akagundua hapati