How you manage your business finances matters

Managing Business Finances

Many businesses struggle with growth. There are many reasons why that happens. You might also have this problem where you want to grow your business, and you think you have done all it takes, but somehow the business is stagnant or is dying. In that case you might want to take a closer look at […]

Usimamizi Bora wa Biashara – 1: Utangulizi

“Usimamizi wa biashara”, ni neno ambalo tumezoea bila kujua maana halisi ya neno hili muhimu. Kwa sababu ya limetumika sana, na kirahisi rahisi, neno hili limepoteza maana yake halisi katika ulimwengu wa biashara. Katika mfululizo huu, nitakuwa nikikushirikisha usimamizi wa biashara ni nini, na kwa nini ni muhimu kila mfanyabiashara anapaswa kujua kusimamia biashara yake. […]

Je Nitumie Mfumo Gani kwa Biashara Yangu?

KWA NINI MIFUMO NI MUHIMU Juma alikuwa na mtaji na akawaza kufanya biashara. Baada ya kutafuta na kupata biashara ya kufanya, akaanza kutafuta sehemu ambapo angepata bidhaa kwa bei ya chini na kuuza kwa bei ya juu kidogo, ili kupata faida. Baada ya kufanya biashara kwa muda Juma akagundua hapati faida, licha ya kupata bidhaa […]

Adiuta Biz Assistant – Msaidizi wako katika Biashara

Bila shaka utakuwa umewahi kujaribu kufanya biashara au kwa sasa wewe ni mfanya biashara. Iwe kuuza nyanya gengeni, kuuza soda kwenye kioski, kumiliki kampuni au namna biashara nyingine yeyote. Kati ya mambo ulijifunza ni kuwa kila biashara inahitaji usimamizi ili ikue. Kutoka Shilingi mia moja mpaka kufikia bilioni moja kuna milima ya kupanda na mabonde […]